Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NIOMBEENI>>>ROMA AJITOA SADAKA KWA KUANDIKA HAYA BAADA YA WIMBO WAKE KUFUNGIWA>>> JIONEE NA UUSIKILIZE

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika;

“WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva”

Bado haijafahamika sababu ya wimbo huo kutaka kufungiwa, na Roma hakupatikana kwenye simu yake nilipomtafuta kwaajili ya kuzungumza nae kuhusu swala hilo.


Usikilize hapa kama bado hujausikiliza>>>>>



author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

mario ads


© Copyright UNDANI WA MAMBO
Back To Top