Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NOUMA:::::: '' MREMBO ANUSURIKA KUFA KISA BIA ZA BURE APIGWA NA KUZIRAI MASAA 9'' KISA KIZIMA IKI APA.......

Chanzo chetu kilimuhoji mhusika na kueleza mchezo mzma ulivyokua kama ifuatavyo “Mimi na Jack tulikuwa marafiki lakini nashangaa amenipiga na chupa bila sababu. Nimeshonwa nyuzi tatu. Siku ile alinikuta nimesimama na rafiki yangu mara akanipiga kikumbo kisha akaenda chooni, aliporudi akanikumba tena, nilipomuuliza ikawa kosa; akanipiga na chupa.
“Imeniuma sana maana amenipa jeraha usoni mwangu bila sababu ya msingi, maana sina ugomvi naye. Kwa sababu hili suala lipo mikononi mwa sheria, naamini itachukua mkondo wake.”
                                             Hafsa baada ya kushonwa nyuzi tatu usoni.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

mario ads


© Copyright UNDANI WA MAMBO
Back To Top