Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREKING NEWS>> SKENDO NZIMA YA WEMA KULIWA URODA NA MKONGOMAN NA KUACHWA KWENYE MATAA HII APA


Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa wa Bongo kwa matajiri, alidaiwa kumtonya Wema kuwa kuna ‘mchati’ anataka kutoka naye.

Kilifunguka kwamba, baada ya Wema kung’atwa sikio juu ya Mkongomani ambaye ana ‘hela chafu’, alidaiwa kuonekana kuchachawa hivyo eti alikubali kupelekwa kwake akajazwe ‘mihela’.

Baada ya Wema kufika hotelini hapo, alitambulishwa kwa Mkongo huyo ambapo baada ya kusalimiana tu, walikaa pamoja na kuanza ‘kufanya yao’.

Baada ya Wema na Mkongo huyo kukutana na kumaliza ‘shida’ zao, kila mtu alichukua hamsini zake huku jamaa huyo ‘akim-block’ Wema kwenye simu.

Pamoja na Wema mwenyewe Kukanusha kupitia instagram kwamba hizo picha ni za 2011, ushahidi wa simu za mezani umemuumbua kwani simu inayoonekana ikimpiga picha ni samsung galaxy s6 edge na simu inayoonekana ipo mezani ni iphone 6 ambazo ni simu zilizotoka juzi juzi tuu.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

mario ads


© Copyright UNDANI WA MAMBO
Back To Top