Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWZ>>> MNENGUAJI MREMBO ZAIDI NCHINI MISRI AHUKUMIWA JELA KWA VIDEO TATA MTANDAONI

Mrembo akuhumiwa jela kwa video tata mtandaoni

Mnenguaji wa kike nchini Misri, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuonekana kwenye video yenye utata mtandaoni.
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama moja nchini humo kwa kosa la kuchochea ngono baada ya kuonekana katika video yenye utata katika mtandao.
Mrembo huyo aliyetambulika kwa jina la Reda al – Fouly alitiwa mbaroni, mara baada ya video hiyo ya miondoko ya Pop kuoneshwa hadharani na baadaye kudhihakiwa kuwa imeenda kinyume na tamaduni za kiarabu.
Muimbaji huyo wa kike alitakiwa kufafanua mavazi -aliyoyava kwenye wimbo unaoitwa Sib Eddi au let it go of my hand               
 

       
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

mario ads


© Copyright UNDANI WA MAMBO
Back To Top