Loading...
Home » Unlabelled » UFISADI>>> JIONEE ORODHA YA MARAIS WATANO AFRIKA WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA KULIKO MAPATO YA NCHI ZAO
UFISADI>>> JIONEE ORODHA YA MARAIS WATANO AFRIKA WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA KULIKO MAPATO YA NCHI ZAO
Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.
Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara mnono zaidi.
Gazeti hilo linadai kuwa Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka, ikiwa ni malipo ya Dola za Marekani 16,000 kwa mwezi.
Habari hizi siyo za kweli. Ni uongo na uzandiki. Ni uzushi mtupu na ni uzushi wa hatari.
Mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwezi ama kwa mwaka haufikii na hata wala kukaribia kabisa kiwango kinachotajwa na Gazeti la Mwananchi.
Tangu Uhuru, mwaka 1961, Rais wa Tanganyika na baadaye tangu mwaka 1964 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa miongoni mwa viongozi wanaolipwa mishahara ya chini kabisa duniani.
Mshahara wa Rais wa Tanzania kwa mwezi ni wa chini kiasi cha kwamba mshahara wake unazidiwa, tena kwa mbali, na mishahara wanayolipwa baadhi ya watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za umma nchini.
Aidha, ni jambo la kushangaza kwamba Gazeti la Mwananchi, linalochapishwa hapa nchini, linaweza kupata kiasi cha uongo anacholipwa Rais wa Tanzania katika mitandao ya nje badala ya kuuliza rasmi na kupewa majibu sahihi.
Kwa kujiingiza katika uzushi wa kupindua kiasi hiki, Gazeti la Mwananchi haliwezi kuwa na nia nyingine yoyote isipokuwa nia ya kuwachochea wananchi na kuwajengea chuki dhidi ya Serikali yao na Kiongozi wao Mkuu.
Ni matarajio yetu, kuwa Gazeti la Mwananchi litafanya jitihada za makusudi, kama taaluma ya uandishi wa habari inavyoelekeza, kutafuta usahihi wa jambo hili na kuwaambia Watanzania ukweli.
Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es Salaam.
27 Julai, 2015
Powered by Blogger.
www.CodeNirvana.in
Popular Posts
- CLICK>>> UJIONEE VIDEO YA MBWA BINGWA WA KUFANYA MAPENZI ALIVOMTOA BIKRA BINTI WA MIAKA 18...
- TUMEKWISHA>>> WASANII BONGO MOVIE WASHINDANA KUPIGA PICHA ZA UCHI WAKIWA LOCATION>> BOFYA APA UJIONEE
- UFUSKA>>> TOP 05 YA PICHA NA VIDEO ZA MASTAA WA BONGO MOVIE WAKISAGANA.>>> HIZI HAPA LIVE
- BREKING NEWS>> SKENDO NZIMA YA WEMA KULIWA URODA NA MKONGOMAN NA KUACHWA KWENYE MATAA HII APA
- AMAIZING>>> CLICK TO SEE HOW BOY REMOVED VIRGIN TO HIS COLLAGE GIRLFRIEND
- KUFURU:::: MOND NA ZARI WAWAKATA WATU MIDOMO KWA KUMZAWADIA MTOTO WAO TIFFAH GARI AINA YA BENZ YENYE THAMANI YA TSH MILLION 200
- NOUMA:::::: '' MREMBO ANUSURIKA KUFA KISA BIA ZA BURE APIGWA NA KUZIRAI MASAA 9'' KISA KIZIMA IKI APA.......
- BREAKING NEWZ>>> MNENGUAJI MREMBO ZAIDI NCHINI MISRI AHUKUMIWA JELA KWA VIDEO TATA MTANDAONI
- UNYAMA>>> HII NDIO SHUKRANI YA MME KWA MKEWE BAADA YA KUMFUMANIA NA BOSI WAKE >>>BOFYA UJIONEE
- BREAKING NEWZ>>> STAR MWINGINE WA BONGO ACHEZA VIDEO YA NGONO LOCATION>>> CLICK UJIONEE
mario ads
About Me
Blog Archive
-
▼
2015
(19)
-
▼
August
(12)
- UFISADI>>> JIONEE ORODHA YA MARAIS WATANO AFRIKA ...
- BREAKING NEWZ>>> MNENGUAJI MREMBO ZAIDI NCHINI MIS...
- TUMEKWISHA>>> WASANII BONGO MOVIE WASHINDANA KUPIG...
- YAFICHUKA>>> HAYA NDIO YALIYOMKERA MIRROR ADI KUMR...
- MSHITUKO MKUBWA DUNIANI>>> MWANAUME WA KWANZA KUSH...
- HATARI>>>>> KAMANDA KOVA AMPA ONYO LA KUSITISHA KA...
- NEWS>>> SKENDO YA USHOGA YAMPONZA ALI-KIBA KUKATAL...
- BREKING NEWS>> SKENDO NZIMA YA WEMA KULIWA URODA N...
- DAWA YA MOTO NI MOTO>>> HAYA NDIO MATUSI MENGINE Y...
- UFUSKA>>> TOP 05 YA PICHA NA VIDEO ZA MASTAA WA BO...
- NOUMA:::::: '' MREMBO ANUSURIKA KUFA KISA BIA ZA B...
- KUFURU:::: MOND NA ZARI WAWAKATA WATU MIDOMO KWA K...
-
▼
August
(12)
Post a Comment